News

Chaumma yadhamiria kuimaliza CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba huku ikisisitiza wananchi kuachana na chama hicho. Mafinga.
‎‎Ufafauzi huo umetolewa na naibu msajili wa mahakama kutokana na maombi yaliyowasilishwa na mawakili wa wadai katika kesi ...
Ameeleza kuwa Serikali pia itaingia makubaliano na shule binafsi za sekondari kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa Serikali kwa ...
Hiyo ikiwa na maana kuwa kati ya wakufunzi 8,709 waliokuwapo katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu nchini mwaka 2024/2025 ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka waratibu wa uchaguzi, wasimamizi na maofisa ununuzi kuhakikisha wanatunza ...
Katika juhudi za kukabiliana na changamoto ya uharibifu wa mazao na kuimarisha usalama wa chakula nchini, Serikali imepanga ...
Mshindi wa mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu 2024 Ibrahim Sow (17) raia wa Ivory Coast ameripotiwa kufariki dunia ...
Zaidi ya wagonjwa 100 waliokuwa wakikabiliwa na changamoto za kimaumbile kwenye uso, shingo na kichwa wamepata huduma za ...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameagiza Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) na Wakala wa Barabara za Vijijini na ...
Wakati joto la uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 likizidi kupanda, vyama mbalimbali viko kwenye michakato ya kukamilisha uandishi ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametaka kubadilishwa kwa mitazamo, namna ya kufanya kazi, na kuandaliwe nyenzo za ...
Wadau wamepongeza hatua ya ushirikishaji wa rika zote katika maandalizi ya Dira 2050 huku Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, ...