RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya dunia ya kusoma Quran Tukufu, yatakayofanyika ...
MBUNGE wa Jimbo la Itilima, Njalu Silanga, amesema wilaya hiyo imepiga hatua kubwa kimaendeleo baada kuipatia takribani Sh.
Mwezi wa mapenzi umefika! Mauzo ya maua, chokoleti, mapambo na huduma za migahawa yanazidi kupanda huku wapenzi wakijiandaa ...
Popular Kenyan content creator Cassypool is the latest celebrity to join the wave of support for Tanzania's president Samia Suluhu Hassan re-election ... dubbed “Marafiki Wa Mama Samia Suluhu ...
Umoja wa Afrika (AU) umepongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa ajenda ya kuhamasisha matumizi ya ...
Hatua hii pia inakuja baada ya Jumapili ya wiki iliopita, Chama tawala cha CCM kwa kauli moja kumteua rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais. Samia aliingia madarakani mwaka wa 2021 ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki,Kati, na ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuongoza wakuu wa nchi wengine wa Afrika katika majadiliano ya pamoja kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 'Mission 300'.
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Rais Muasisi wa Taifa la Namibia, Dk Sam Nujoma kilichotokea jana usiku akiwa amelazwa hospitalini. Kupitia kurasa zake za mitandao ya ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wa chama cha mapinduzi CCM kupeperusha bendera ya chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Tunachambua hatua hii.
Bila shaka ni jambo la kushukuru kwa wafuasi wa Chadema kwamba kamera za vyombo ... mbele ya chama tawala na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. "Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, si mwenyekiti ...