Rais Dk Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake waliobahatika kupata fursa ya elimu na kuwa viongozi kwenye maeneo ...
Wanawake wametakiwa kutumia elimu au nafasi mbalimbali za uongozi wanazopata kuinufaisha jamii huku wakisisitizwa kuwa nafasi ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya dunia ya kusoma Quran Tukufu, yatakayofanyika ...
Watanzania wametakiwa kuepuka mashinikizo yoyote yanayoweza kuhatarisha usalama wa nchi, yakiwemo maandamano, hasa wakati wa ...
Jumatano ya Februari 12 mwaka huu, Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo ilitoa mchoro rasmi wa uwanja wa michezo ...
Mwezi wa mapenzi umefika! Mauzo ya maua, chokoleti, mapambo na huduma za migahawa yanazidi kupanda huku wapenzi wakijiandaa ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki,Kati, na ...
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
Owino, who was detained in December 2024 upon arrival at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam, has formally protested the incident, sending a letter to Tanzania's President Samia ...
The 18 January endorsement of Tanzania’s president Samia Suluhu Hassan by the ruling Chama Cha Mapinduzi as its sole presidential candidate in the October general election came six months earlier than ...
Kura za maoni zaonyesha asilimia 50 ya raia wa Ukraine wanaunga mkono suluhu ya mapatano juu ya vita
Kwa wale walioshiriki, asilimia 50.6 walisema wanaunga mkono utafutaji wa suluhu ya mapatano na viongozi wa nchi zingine wanaohusika. Raia wa Ukraine wanaonekana kuwa tayari kufikia mapatano juu ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results