News

Wiki iliyopita Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba katika mahojiano yake na gazeti hili, alisema kwa kushirikiana na wazee wenzake wanawasiliana na Chadema na Tume Huru ya Taifa ya ...
Watu 4,000 waliofanyiwa vipimo na madaktari bingwa wa macho wamebainika kuwa na uoni hafifu, kati hao 300 wamefanyiwa ...
Ripoti ya ukaguzi wa utendaji kuhusu usimamizi wa data za kielimujiolojia katika sekta ya madini nchini imebaini mapungufu ...
Kabila (53) alikuwa akiishi uhamishoni tangu alipoondoka madarakani baada ya kuibuka maandamano makubwa na yenye umwagaji ...
Mwili wa aliyekuwa mratibu wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, umezikwa leo Aprili 22,2025 katika makaburi ya ...
Mahakama ya Rufani imemuachia huru, Shauri Vungwa aliyekuwa amehukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela na viboko 12, baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mke wake aliyekuwa na umri wa miaka 46.
Wawili hao wameonekena wakifurahia pamoja katika moja ya migahawa wanayoipenda ya Kiitaliano jijini Washington DC, Marekani.
Burnley na Leeds United zimerejea katika Ligi Kuu England (EPL) baada ya kupata ushindi katika mechi zao za ligi ya ...
Serikali imetaja mikakati ya kulinda haki za watoto kuwa ni pamoja na adhabu ya kifungo cha miaka 30 kwa atakayempa mimba mwanafunzi, huku wazazi wasiolea na kutunza watoto adhabu yao ni ...
Maji yaliyokuwa yakituama katika kivuko kinachotumiwa na wananchi kwenye reli ya Umeme (SGR), maeneo ya Gongo la Mboto jijini humo yameanza kuondolewa.
Katika wosia wake wa kiroho, hayati Papa Francis alieleza kuwa anatamani kaburi lake lichimbwe ardhini, liwe rahisi bila ...
Kilio cha ujenzi wa uzio kwa shule msingi na sekondari leo limechukua nafasi kubwa baada ya wabunge wengi kusimama wakihoji ...