RAIS Samia Suluhu Hassan amesisitiza vijana kugombea ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Aliandika hayo juzi katika ukurasa wake X akitilia mkazo hoja ...
MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi, Dk. Batilda Burian, amesema ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan, itaanza Februaru 23, mwaka huu, kwa kukagua na kuzindua miradi mitatu mikubwa. Dk. Batilda ameyasema hayo ...