HATIMAYE, Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeanza tena safari zake kati ya Dar es Salaam na Iringa baada ya kusitisha ...
Uwanja wa Benjamin Mkapa wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 60,000 umekuwa ukitumika kwa michezo mingi mikubwa na inayohusisha mashabiki wengi zaidi. Simba ipo nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ...
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Hamdi Miloud kinashuka dimbani Februari 23 kusaka alama tatu muhimu ...
KAIMU Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Dk Suleiman Haji Suleiman ...
WANANCHI  wa Mkoa wa Tanga leo wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoandaliwa kwa ajili ya ...
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameonya dhidi ya uandishi wa habari usiozingatia maadili, utu na heshima, akisisitiza baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kusambaza taarifa zinazodhalilisha na ...
ARUSHA: WANANCHI wanaotapeliwa kwa njia ya mitandao ya simu wametakiwa kutoa taarifa polisi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili wahusika wachukuliwe hatua kukomesha suala hilo. Waziri wa Maw ...
GEITA: JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia wanafunzi 30 wa kidato cha sita, shule ya sekondari Geita (GESECO) iliyopo ...
MOROGORO: MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewaagiza wawekezaji waliochukua vitalu vya uchimbaji madini kwa muda mrefu ...
Wafungwa, msamaha wa rais, Bodi ya Parole, Tanzania, mbaroni kwa wizi, biashara ya viwanja, viongozi wasio waadilifu, ...
DAR ES SALAAAM: FAINALI ya shindano la kusaka vipaji nchini, Bongo Star Search (BSS), msimu wa 15, inatarajiwa kufanyika Februari 28, 2025, katika ukumbi wa Ware House, Masaki jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia mashindano hayo Dar es Salaam leo, Mratibu wa Mashindano hayo, Ally Kamwe amesema waandaaji wa mashindano hayo ...