UNAKUMBUKA mabao matatu ya hivi karibuni aliyofungwa Yanga? Sasa kocha wa timu hiyo Hamdi Miloud ameona usinchezee. Ameamua ...
SIMBA inashuka uwanjani ugenini Jumatano hii dhidi ya Namungo kwenye mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara lakini Kocha wa Wekundu ...
Ushindi wa mabao 2-0 ambao wameupata JKT Tanzania, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC umewafanya Maafande hao kupanda nafasi sita kwenye msimamo wa ligi hiyo, huku KenGold ikiendeleza moto.
KIPA Wilbol Maseke ameingia katika orodha ya wachezaji waliojifunga Ligi Kuu Bara hadi sasa baada ya jioni ya leo ...
KITAUMANA katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini hapa wakati mastaa wa Coatal Union na Azam watakapovuja jasho kwenye msako ...
MWILI wa mwimbaji maarufu wa zamani wa bendi ya Maquis, Tabia Mwanjelwa umewasili nchini jana Jumatatu kutoka Ujerumani, ...
TABIA Mwanjelwa, ni mmoja wa waimbaji wa kike wa mwanzo kabisa nchini Tanzania, ambeye amefariki dunia nchini Ujerumani, ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya miaka 35 tangu alipoondoka ...
NDOA ya mastaa wawili, wa soka Stephane Aziz KI na mfanyabiashara na mjasiriamali, Hamisa Mobetto bado imebaki vichwani mwa ...
Serikali imepanga kutoa maelekezo kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu zikiwemo Simba na Yanga kuwa na viwanja vyao ...
Wakati wachezaji wengi wa soka wanaota kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, kiungo wa Ulinzi Starlets na Harambee Starlets, ...
Momanyi ametokea Shabana FC ya kwao Kenya, huku kwa upande wa Camara akijiunga na kikosi hicho kwa mkopo kutoka Singida Black ...
MANCHESTER City inajiandaa kuchuana jino kwa jino na Real Madrid kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kuwania saini ya kiungo wa Pauni 85 milioni, Florian Wirtz.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results